• Facebook
  • Twitter
  • Google Plus
  • Contact

FILM TANZANIA

FILM TANZANIA

  • Home
  • INTERVIEW
  • SIMULIZI
  • HABARI
  • BEHIND THE SCENES
  • LOCATION
  • ABOUT
    • Facebook
    • Twitter
    • Google Plus
Home » Uncategories » DOGO PEPE

DOGO PEPE

Add Comment

Dogo Pepe mchekeshaji wa stand up comedian sasa amua kuja kivingine kwa kuiboresha zaidi comed ya stage, hiyo itakuwa zawadi tosha kwa mwaka huu wa 2017 pia anatoa shukrati za dhati kwa mashabiki wake wote na watu wake wa karibu anawa ahidi kamwe hatowaangusha katika kazi hiyo yeye ni baba wa stand up comed kwa hapa Tanzania. kama aliwaangusha mwaka jana asema mwaka huu si mwaka wa kurudia makosa kwa upande wake. " mimi dogo pepe naombeni mniwie radhi kwa makosa nilio kosea mwaka jana sasa mwaka huu sitawaangusha nikiwa jukwaani kama ulikasilishwa ukisikia show yangu njoo upate dawa ya asila zako, ukija umenuna utaondoka na zigo la furaha.

Image may contain: 1 person, sitting

0 Response to "DOGO PEPE"

← Newer Post Older Post → Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

FOLLOW US

POPULAR POSTS

Back to top!
Copyright (c) 2014 FILM TANZANIA. All Rights Reserved Created by Flash TZ Blog. Designed by Flash TZ Blog. Powered by Blogger.