Enock Msuma ni camera man & final editor ameshiriki vizuri kwa
upande wake katika filamu NDOA YA UJANANI. Anazungumzia suala la kupeana
majukumu au taaluma katika sanaa ya filamu, sababu filamu imebeba elimu
kubwa sana. Taaluma ya uandishi wa filamu ndio kila kitu, story
itakapokuwa nzuri na director akawa na taaluma ya uongozaji basi ni
lazima watoe kitu kizuri na rahisi filamu kupata mashabiki wengi.
https://youtu.be/ReHJj20HhjA