• Facebook
  • Twitter
  • Google Plus
  • Contact

FILM TANZANIA

FILM TANZANIA

  • Home
  • INTERVIEW
  • SIMULIZI
  • HABARI
  • BEHIND THE SCENES
  • LOCATION
  • ABOUT
    • Facebook
    • Twitter
    • Google Plus
Home » INTERVIEW » MZEE MSISIRI ATUMBUA JIPU

MZEE MSISIRI ATUMBUA JIPU

Add Comment
INTERVIEW





••••♦••••♦••••♦••••♠•••♦
1. Jina langu kamili ni FADHILI RAJABU MSISILI
2. Kabira langu ni Chotara wa kizigua kwa baba na mzaramo kwa mama
3. Sinema yangu ya kwanza ilikua Nsyuka mwaka 1999
Sinema ya pili na ya tatu beyonce na tabana lakini nikajulikana kwenye Odama
4. Kabla ya sanaa nilikua nauza kahawa mburahati madoto dar es salaam
5. Kuna wakat tofauti nilishawai kua mmoja wa washauri katika bendi ya chuchu sound,pamo,Akudo sound
6. Watu wengi huniuliza kicheko ila kicheko nilimuiga mzee mmoja ktk movie za nigeria anaitwa Odumodu picha ya mnigeria huyo kuiyona mwishon ilikua
THE RETURN GHOST (KOFIA YA MAUTI)
7. Kicheko hiko nikaja kukitumia mwaka 2008 katika BEYONCE Niliyocheza kama mfalme
8. Napenda kucheza film na chipukizi kuna wengi wanaojua kuliko mastaa hata hivyo bongo hakuna staa kuna wazoefu
9. Makundi makubwa ambayo siwezi kuyasahau ni TAMBA ARTS GROUP na MAFANIKIO SANAA GROUP mwaka 2004
10. Watu ambao walichangia mpaka kufika hapa ni MANENO TAMBA,MUSSA BANZI,FATUMA MUSSA
11. Movie ambayo naipenda hapa TZ ni MZEE WA BUSARA
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
KWA UFUPI UMEMJUA SASA MZEE MSISILI
SHARE ILI WENZAKO WANIFAHAMU PIA

NAULIZWA KILA SIKU KWA NINI TASNIA INASHUKA MAJIBU YANGU KAMA IFUATAVYO
1. TANZANIA SASA TUNAPENDA KUCOPY STORY TOFAUTI NA ZAMAN
2.BAADH YA WATU WAMEONA TASNIA YA KUFANYIA NGONO NA UKICHANGANYA SANAA NA MAPENZ HAMNA SANAA
3. BAJETI YA KUANDAA FILAMU INAKUA CHINI KULIKOO KIWANGO CHA BAJETI
4.WASANII KUTOZINGATIA MAZOEZI WAKIJUA KUTOANGALIA CAMERA BASI KASHAKUA MSANII
5.MADIRECTOR KUTOKUA NA UWEZO AU UJUZ WA KUDIRECT
MWISHO KUHUSU SEASON NA POSTAS
SEASON-HAIJAJA KUALIBU TASNIA BONGO ILA IMELETA UPINZAN NA STORY ZETU ZA KUCOPY NDO MANA IMETUPIKU
POSTAS-HAIFANYI MTU KUTOPENDA KAZI UNAWEZA KUA NA POSTAZ MBAYA LAKINI STORY IKAFANYA WATU WAPENDE MFANO POSTAZ ZA ZAMAN MBAYA LAKINI KUTOKANA NA STORY WATU WALIKUA WANAPENDA
KWA MASWALI NIFATE INBOX AHSANTEN

0 Response to "MZEE MSISIRI ATUMBUA JIPU"

← Newer Post Older Post → Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

FOLLOW US

POPULAR POSTS

  • KILA MWANDISHI WA MISWADA {SCRIPT}
    Kila mwandishi wa miswada {script} hutumia njia aipendayo kuitumia katika kuandika miswada {script}si kwa nchi yetu ya Tanzania pekee h...
  • IFAHAM HISTORIA YA KANUMBA YOTE KWA UJUMLA
    Hayati Steven Kanumba amezaliwa Januari 8 ,1984 Shinyanga,Tanzania Amefarki Aprili 7, 2012 (umri 28)Dar es Salaam,Tanzania Kaz...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 01
                                                                                                             SAMAKI MTU(MERMAID)   ...
  • MZEE MSISIRI ATUMBUA JIPU
    •••• ♦ •••• ♦ •••• ♦ •••• ♠ ••• ♦ 1. Jina langu kamili ni FADHILI RAJABU MSISILI 2. Kabira langu ni Chotara wa kizigua kwa baba na ...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 04
                                                                                                                          SAMAKI MTU(MERMAID...
  • ULINGO WA MOTO FILAM YA MAPIGANO YENYE UARISIA
    Daaah!!! Nikali tena ni noma sana,Usisa hau wala usikose kupata nakala yako.Tarehe 23/4/2018 filamu hii itakua tayari imo sokoni.....UL...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 02
                                                           SAMAKI MTU(MERMAID)                                                        ...
  • MFAHAM JUMA KILOWEKO SAJUKI
    Sajuki alizaliwa mwaka 1984, mkoani Songea na kupata elimu yake ya msing na sekondari hukohuko mkoani Songea.Ambapo mwaka 2005 aliweza ku...
  • JINSI YA KUTENGENEZA FILAM NA KUUZA
     KATIKA miongo kadhaa iliyopita filam nyingi zenye mafanikio zimetokezwa huko Hollywood. Hilo limekuwa na uvutano mkubwa ulimwenguni pote ...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 11
                                                                   SAMAKI MTU(MERMAID)                                                 ...
Back to top!
Copyright (c) 2014 FILM TANZANIA. All Rights Reserved Created by Flash TZ Blog. Designed by Flash TZ Blog. Powered by Blogger.