JB msanii mwenye uwezo na uzoefu mkubwa katika tasnia ya bongo movie hapa nchini kwetu Tanzania ameguswa sana na tatizo la kushuka kwa soko la film zetu na kupanda kwa soko la film za kigeni alizungumza na kutoa somo kwa uchache, wafatiliaji wengi wa film sasa hivi wameamia katika tamthilia za kigeni sababu kubwa film zetu zimekosa ubunifu na vionjo vyatakavyo mfanya mtazamaji airudie tena kuiangalia.
Nina
machache ya kuzungumzia kuhusiana na film za kitanzania zilivyopoteza
soko au kupoteza mashabiki na kupelekea kutoa lawama kwa wauzaji sison
za kikorea au
sison za kihindi kuwa wao
ndo chanzo film zetu hazipati wateja naunga mkono hilo kwa %70 coz hizi
sison huuzwa bei rahisi tu na story zao kali za kusisimua tofauti film
ya kitanzania bei iko juu lakini mapungufu yake Ni mengi mno hivyo dawa
ya kuweka soko sawa Ni watendaji wenyewe kujielewa kuwa jamii inataka
nini kwa mana pia mabadiliko huletwa na watu wapya na sio wazamani mfano
hai bongo fleva imebadilika kutokana na up coming wengi kufanya vizur
kuleta ladha tofauti kabisa na Ile tuliyoizoea zamani,,hivyo nasi
tunahitaji up coming wafanye kazi ya ziada bila kujali ubaguzi sokoni
kazi nzuri ndio itakayokupa nafasi sokoni,,,la mwisho tuepuke hawa watu
producer feki anaandaa film ilimradi apate tu hela pia wasambazaji
wababaishaji nao wanaangalia maslai yao mwisho wa cku soko
likashuka,naamin nafasi bdo ipo tukiamua