Omary Mswahili anasema wasanii chipkizi waache kusema midomoni kama wanaweza kuikuza sanaa ya film kinachohitajikakuacha nasihara anachukia akiwasikia watu wakisema bongo movie ilikuwa au ya mtu fulani, kwani hao watu walizaliwa na vipaji vya maigizo peke yao hapa Tanzania.