• Facebook
  • Twitter
  • Google Plus
  • Contact

FILM TANZANIA

FILM TANZANIA

  • Home
  • INTERVIEW
  • SIMULIZI
  • HABARI
  • BEHIND THE SCENES
  • LOCATION
  • ABOUT
    • Facebook
    • Twitter
    • Google Plus
Home » Uncategories » NAJIVUNIA NCHI YETU

NAJIVUNIA NCHI YETU

Add Comment




Najivunia nchi yetu inayo watu wenye vipaji katika sekta mbalimbali haswa katika sanaa, tatizo hawapewi nafasi ya kuonesha uwezo walio nao. Wengi wao wanaopata nafasi hawatoi ubunifu zaidi ya kugeza kazi fulani au kumgeza msanii fulani, madirector wengi wa nchi yetu Kila mmoja anajua zaidi ya wengine hawataki kujishusha kama ma director wa nje huu ni mfano mkubwa kutoka kwa director mahili duniani anayeitwa Mel Gibson aliwachukua ma director zaidi ya saba ili apate mawazo ya kujenga kitu kizuri hakujifanya mjuaji zaidi ya wenzake hadi akafanikiwa kuikamilisha APOCALYPTO. Kwanini sisi tusijifunze kutoka kwa wenzetu, utamkuta director hajui hata movie anayoiongoza inatakiwa iwe na muda gani au color yake yeye anachokijua action and cut au upeo wa casting zake hajui, makosa yakitokea location director anatoa tusi hapo ndipo cast naye anatoka kikazi anaanza kucheza anavyoweza yeye au achezi kabisa.

0 Response to "NAJIVUNIA NCHI YETU"

← Newer Post Older Post → Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

FOLLOW US

POPULAR POSTS

  • KILA MWANDISHI WA MISWADA {SCRIPT}
    Kila mwandishi wa miswada {script} hutumia njia aipendayo kuitumia katika kuandika miswada {script}si kwa nchi yetu ya Tanzania pekee h...
  • IFAHAM HISTORIA YA KANUMBA YOTE KWA UJUMLA
    Hayati Steven Kanumba amezaliwa Januari 8 ,1984 Shinyanga,Tanzania Amefarki Aprili 7, 2012 (umri 28)Dar es Salaam,Tanzania Kaz...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 01
                                                                                                             SAMAKI MTU(MERMAID)   ...
  • MZEE MSISIRI ATUMBUA JIPU
    •••• ♦ •••• ♦ •••• ♦ •••• ♠ ••• ♦ 1. Jina langu kamili ni FADHILI RAJABU MSISILI 2. Kabira langu ni Chotara wa kizigua kwa baba na ...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 04
                                                                                                                          SAMAKI MTU(MERMAID...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 02
                                                           SAMAKI MTU(MERMAID)                                                        ...
  • ULINGO WA MOTO FILAM YA MAPIGANO YENYE UARISIA
    Daaah!!! Nikali tena ni noma sana,Usisa hau wala usikose kupata nakala yako.Tarehe 23/4/2018 filamu hii itakua tayari imo sokoni.....UL...
  • MFAHAM JUMA KILOWEKO SAJUKI
    Sajuki alizaliwa mwaka 1984, mkoani Songea na kupata elimu yake ya msing na sekondari hukohuko mkoani Songea.Ambapo mwaka 2005 aliweza ku...
  • JINSI YA KUTENGENEZA FILAM NA KUUZA
     KATIKA miongo kadhaa iliyopita filam nyingi zenye mafanikio zimetokezwa huko Hollywood. Hilo limekuwa na uvutano mkubwa ulimwenguni pote ...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 11
                                                                   SAMAKI MTU(MERMAID)                                                 ...
Back to top!
Copyright (c) 2014 FILM TANZANIA. All Rights Reserved Created by Flash TZ Blog. Designed by Flash TZ Blog. Powered by Blogger.