• Facebook
  • Twitter
  • Google Plus
  • Contact

FILM TANZANIA

FILM TANZANIA

  • Home
  • INTERVIEW
  • SIMULIZI
  • HABARI
  • BEHIND THE SCENES
  • LOCATION
  • ABOUT
    • Facebook
    • Twitter
    • Google Plus
Home » HABARI » FILM ZILIZOTOKA NA KUFANYA VIZURI SOKONI MWAKA 2017

FILM ZILIZOTOKA NA KUFANYA VIZURI SOKONI MWAKA 2017

Add Comment
HABARI

Mwaka jana mkubwa wa film nchini Tanzania na muongozaji mkubwa afaamika kwa jina ISSA MUSSA jina lake la sanaa afahamika CLOUD mwisho wa mwaka jana alifanikiwa kuufunga mwaka kwa kuitimiza ndoto yake ya kuzindua film mwisho wa mwaka, Kama haukufanikiwa kuiona tafuta kwa mawakala wote utaipata.
 
Heshima kwa mzee wetu kwa mwaka jana alipata usumbufu mkubwa kutoka kwa wasanii wa film kwa kuitaji msaada wake wa kitaifa kwa uwezo alio nao ilim'bidi akubali usumbufu huo ni film nyingi alizoshirikishwa, nadhani mnamjua MZEE MASINDE jina lake kamili RICHARD MSHANGA ahsante kwa msaada wako mzee pole kwa usumbufu huu.

 Sura zilizotawala hapo juu usipocheka wewe kwaeli m'binafsi si wengine MAU FUNDI na KIPUPWE wakiwa mama yetu katika sanaa ZAHRA wakiendeleza kazi yao ya kuwafurahisha walio nuna.
 ZUBERI MOHAMMEDI ndani ya mimba mbili akionesha uwezo wake na inajurika kama hana nafasi moja katika sanaa kwa uwezo alio nao si mwingine NIVA nadhani mmeshamtambua pata nakala yako haujachelewa.
LION SAMBALA bila uchoyo wa sanaa akifanya vizuri na kuonesha uwezo wake mbele ya mastaa wa film AUNT  EZEKIEL NA HAJI SALUM si mwingine Mboto.

0 Response to "FILM ZILIZOTOKA NA KUFANYA VIZURI SOKONI MWAKA 2017"

← Newer Post Older Post → Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

FOLLOW US

POPULAR POSTS

  • KILA MWANDISHI WA MISWADA {SCRIPT}
    Kila mwandishi wa miswada {script} hutumia njia aipendayo kuitumia katika kuandika miswada {script}si kwa nchi yetu ya Tanzania pekee h...
  • IFAHAM HISTORIA YA KANUMBA YOTE KWA UJUMLA
    Hayati Steven Kanumba amezaliwa Januari 8 ,1984 Shinyanga,Tanzania Amefarki Aprili 7, 2012 (umri 28)Dar es Salaam,Tanzania Kaz...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 01
                                                                                                             SAMAKI MTU(MERMAID)   ...
  • MZEE MSISIRI ATUMBUA JIPU
    •••• ♦ •••• ♦ •••• ♦ •••• ♠ ••• ♦ 1. Jina langu kamili ni FADHILI RAJABU MSISILI 2. Kabira langu ni Chotara wa kizigua kwa baba na ...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 04
                                                                                                                          SAMAKI MTU(MERMAID...
  • ULINGO WA MOTO FILAM YA MAPIGANO YENYE UARISIA
    Daaah!!! Nikali tena ni noma sana,Usisa hau wala usikose kupata nakala yako.Tarehe 23/4/2018 filamu hii itakua tayari imo sokoni.....UL...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 02
                                                           SAMAKI MTU(MERMAID)                                                        ...
  • MFAHAM JUMA KILOWEKO SAJUKI
    Sajuki alizaliwa mwaka 1984, mkoani Songea na kupata elimu yake ya msing na sekondari hukohuko mkoani Songea.Ambapo mwaka 2005 aliweza ku...
  • JINSI YA KUTENGENEZA FILAM NA KUUZA
     KATIKA miongo kadhaa iliyopita filam nyingi zenye mafanikio zimetokezwa huko Hollywood. Hilo limekuwa na uvutano mkubwa ulimwenguni pote ...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 11
                                                                   SAMAKI MTU(MERMAID)                                                 ...
Back to top!
Copyright (c) 2014 FILM TANZANIA. All Rights Reserved Created by Flash TZ Blog. Designed by Flash TZ Blog. Powered by Blogger.