• Facebook
  • Twitter
  • Google Plus
  • Contact

FILM TANZANIA

FILM TANZANIA

  • Home
  • INTERVIEW
  • SIMULIZI
  • HABARI
  • BEHIND THE SCENES
  • LOCATION
  • ABOUT
    • Facebook
    • Twitter
    • Google Plus
Home » HABARI » LP MEDIA WAINGIA KATIKA KINYANG'ANYILO

LP MEDIA WAINGIA KATIKA KINYANG'ANYILO

Add Comment
HABARI

 LP MEDIA wametamba sana na film zao nyingi leo tumewazawadia page hii kwa kuwapa moyo na kuungana nao katika kinyang'anyilo ambacho wapo, mashabiki wote wa LP MEDIA kwa umoja wenu onesheni ushirikano wenu kwa kufanya kitendo hiki. Andika neno "NDIO" katika uwanja wa sms za kawaida kisha tuma kwenda +255757339567 atakayefanya kitendo hiko ni shabiki mkubwa wa LP MEDIA.
 Raha ya kuchana chania chanuo chenye chanio si maneno yango ni maneno yanayo patikana katika film itwayo chanuo si wengine LP MEDIA.
 Nabii Mswahili namba epsode 1na 2 mlipata mkahitaji mwendelezo mkaletewa 3 na 4 mkasumbua sana mkahitaji mwendelezo sasa mmeletewa 5 na 6 na mkihitaji mwendelezo mwingine sememeni mtapatiwa LP MWDIA wapo kwa ajili yenu.

Watu waendelee kukazana kwa nia njema dhidi ya taifa lao...wazidi kukazana bila kuangalia jinsia,wakazane kwenye kilimo,wakazane kwenye elimu na zaidi wakazane kutafuta hitaji sahihi la mioyo yao...
Hilo ni agizo kutoka kwa mwenyekiti ambayo itakua mtaani kuanzia tarehe 15/January




0 Response to "LP MEDIA WAINGIA KATIKA KINYANG'ANYILO "

← Newer Post Older Post → Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

FOLLOW US

POPULAR POSTS

  • KILA MWANDISHI WA MISWADA {SCRIPT}
    Kila mwandishi wa miswada {script} hutumia njia aipendayo kuitumia katika kuandika miswada {script}si kwa nchi yetu ya Tanzania pekee h...
  • IFAHAM HISTORIA YA KANUMBA YOTE KWA UJUMLA
    Hayati Steven Kanumba amezaliwa Januari 8 ,1984 Shinyanga,Tanzania Amefarki Aprili 7, 2012 (umri 28)Dar es Salaam,Tanzania Kaz...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 01
                                                                                                             SAMAKI MTU(MERMAID)   ...
  • MZEE MSISIRI ATUMBUA JIPU
    •••• ♦ •••• ♦ •••• ♦ •••• ♠ ••• ♦ 1. Jina langu kamili ni FADHILI RAJABU MSISILI 2. Kabira langu ni Chotara wa kizigua kwa baba na ...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 04
                                                                                                                          SAMAKI MTU(MERMAID...
  • ULINGO WA MOTO FILAM YA MAPIGANO YENYE UARISIA
    Daaah!!! Nikali tena ni noma sana,Usisa hau wala usikose kupata nakala yako.Tarehe 23/4/2018 filamu hii itakua tayari imo sokoni.....UL...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 02
                                                           SAMAKI MTU(MERMAID)                                                        ...
  • MFAHAM JUMA KILOWEKO SAJUKI
    Sajuki alizaliwa mwaka 1984, mkoani Songea na kupata elimu yake ya msing na sekondari hukohuko mkoani Songea.Ambapo mwaka 2005 aliweza ku...
  • JINSI YA KUTENGENEZA FILAM NA KUUZA
     KATIKA miongo kadhaa iliyopita filam nyingi zenye mafanikio zimetokezwa huko Hollywood. Hilo limekuwa na uvutano mkubwa ulimwenguni pote ...
  • SAMAKI MTU(MERMAID) 11
                                                                   SAMAKI MTU(MERMAID)                                                 ...
Back to top!
Copyright (c) 2014 FILM TANZANIA. All Rights Reserved Created by Flash TZ Blog. Designed by Flash TZ Blog. Powered by Blogger.